Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Tunasheherekea kwa sana kufungwa kwenyeHahahaaaa. Hivyo munalipiza?
Angalia kuanzia page ya kwanza hamna anayezungumzia Yanga kufungwa na KMC mpaka agusie alichokifanya tarehe nane. Hiyo dhahiri inaonyesha KMC kawaletea faraja.ππhaitokaa itokee
Karibu Jumapili tunacheza na Namungo.Tunasheherekea kwa sana kufungwa kwenye
Vipi mmejipangaje na hii gameKaribu Jumapili tunacheza na Namungo.
KMC kafanya vizuri mnoAngalia kuanzia page ya kwanza hamna anayezungumzia Yanga kufungwa na KMC mpaka agusie alichokifanya tarehe nane. Hiyo dhahiri inaonyesha KMC kawaletea faraja.
Maandalizi yako poa. Tuko njiani kuelekea huko tukazisake points tatu.Vipi mmejipangaje na hii game
KamweneeMaandalizi yako poa. Tuko njiani kuelekea huko tukazisake points tatu.
π π π Haya bana.KMC kafanya vizuri mno
Jumapili itaongea.Kamwenee
KMC wanachokifanya ni kumshika tako mtu mzima mbele za watu
Cha nguruwe.Usingejuwa kuwa kinaniuma isipokuwa kilikuuma wewe Jana cha Watoto wa Kinondoni ndiyomana ukanuwa kuwa kinauma.
Jumapili imeshaongea Shadeeya una swali la nyongeza labda?πJumapili itaongea.