wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Aah aibu sana hii dooh!! Masikini Vyura fcYanga wenyewe hawajiamini,inabidi wanyama.tuokoe jahazi
Walizani ligi ni simba tu. Acha waendelee kupambana na hali zao.Vyura jitahidini bana acheni ujingaa aah nyie vipi bana chomoeni goli hilo
Mkuu, naomba matokeo!Mwalimu Kashasha anasema Moringa anacheza mpira wa kiujanja ujanja,hakuna kitu
KMC 1- Yanga 0
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]