synthesizere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2019
- 878
- 1,255
Dawa yao ni kuwafata kule kwenye uzi wao wa, Young africa special theadSubutuuu, haji hapa hata umkokote kwa greda hapa haji nasema
Yanga bado wapo kwenye kushangilia kubahatisha kuifunga timu bora barani Africa
1. Umeme umakataSubutuuu, haji hapa hata umkokote kwa greda hapa haji nasema
ππππππIRENE UWOYA FC Unawabania mapedeshee wakubwa wenzio unaliwa na madogo janja.
Yale magoli ya Singida ndio yalikua apigwe Yanga kwenye mechi na Simba. Ile si ilikua tarehe 08? Amakweli mganga wao apewe pongeziinasemekana golini walipaki waganga 8
inasemekana golini walipaki waganga 8