Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Habari wakulima kwa Mujibu wa Utabari wa Mamlaka ya hali ya hewa wametoa Taarifa kwamba ile mikoa inayopata msimu wa Mvua mara mbili kwa mwaka mvua zinatarajia kuanza wiki ya nne ya mwezi October, Sasa kama wakulima inatakiwa tupeane update za Mvua kama kuna mikoa tayari imeshaanza ili mikoa mingine wajipange zaidi
Huku Tanga bado jua ni kali na haijulikani Mvua itaanza lini
Vp huko uliko mkulima hali ikoje
Huku Tanga bado jua ni kali na haijulikani Mvua itaanza lini
Vp huko uliko mkulima hali ikoje