Updates ya Mvua za Vuli msimu wa 2024

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,047
Reaction score
1,832
Habari wakulima kwa Mujibu wa Utabari wa Mamlaka ya hali ya hewa wametoa Taarifa kwamba ile mikoa inayopata msimu wa Mvua mara mbili kwa mwaka mvua zinatarajia kuanza wiki ya nne ya mwezi October, Sasa kama wakulima inatakiwa tupeane update za Mvua kama kuna mikoa tayari imeshaanza ili mikoa mingine wajipange zaidi
Huku Tanga bado jua ni kali na haijulikani Mvua itaanza lini
Vp huko uliko mkulima hali ikoje
 
Arusha hata ilo jua lenyewe halijaanza
 
Sijui kwa nini. Huwa siwaamini kabisa hawa TMA.
Aisee TMA kwa sasa wako vizuri sana jaribu kufatilia utabiri wao kwa miaka mitano nyuma ndio uatgundua hili
Hata msimu huu wamesema mvua zitaanzia mikoa ya kanda ya ziwa na kusambaa mikoa mingine
 
DAH TMA HAIMINIKI WALITUAMBIA MWEZI 9 MWISHON SAHV WANASEMA MWEZI WA KUMI MWISHON
 
Kila kitu kinakauka Tanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…