Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
-
- #41
Misukule ya Manara imepotea
Mama unakuja kuhororoja hapa badala ya kwenda kuogesha vizee? Utafutwa kazi!Kwa niaba ya diaspora wote tunasema mavyura mpigweee
Yanacheza lini? Yaanze kufukuzana
๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธMama unakuja kuhororoja hapa badala ya kwenda kuogesha vizee? Utafutwa kazi!
Yanacheza lini? Yaanze kufukuzana
Leo Mikia FC mnacheza MUNGU wa mbinguni awe upande wa Masau Bwire mpigwe mpaka mkome!๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ
๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ nadhani habari unayo tukimpiga chache ni 4 tushazoea kumpiga 5,6-7Leo Mikia FC mnacheza MUNGU wa mbinguni awe upande wa Masau Bwire mpigwe mpaka mkome!