Updates Yanga vs Prisons leo tarehe 06. 05. 2017

Ahaaaaaaa weeeeee milioni 800 za 'mo' zimeliwa na 'nyenyere!
 
Kwakweli hao maafande wamechuja kama nguo iliyofuliwa kwenye maji chumvi.
 
Simba wasubiri point za mezani tu kama wanadhani Fifa inaongozwa na wapuuzi kama Rage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…