M mkabaroho JF-Expert Member Joined Oct 16, 2012 Posts 300 Reaction score 373 May 17, 2020 #1 Karibuni wadau tupeane updates za bei ya zao la ufuta kwenye mikoa mbalimbali kwa sasa
The Black Senior Member Joined Aug 8, 2013 Posts 193 Reaction score 112 May 18, 2020 #2 Kuna maeneo fulani Songea wakulima wameuza kwa Bei ya 2182 kwa kilo Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna maeneo fulani Songea wakulima wameuza kwa Bei ya 2182 kwa kilo Sent using Jamii Forums mobile app