Ata nyumbani, ila speed itategemea na umeme ulioletwa kwenu. Ila umeme wa nyumbani Tegemea kuchaji slow kama ni ule wa kawaida.H
Hivi haya magari ya umeme unachaji popote hata nyumbani kwako au sehemu maalum?
Kuna station maalumu za kuchaji ingawa unaweza kuchaji nyumbani ikiwa kama utafunga baadhi ya vifaa vya kuchajia na kuna uangalizi maalumu unaosimamiwa na mamlaka ikiwemo vifaa vya zima MotoH
Hivi haya magari ya umeme unachaji popote hata nyumbani kwako au sehemu maalum?
Huku kwenyewe wengi used from japan mkuuMbona hawaleti huku?
Kwa maelezo haya tupambane na hybrid.Ata nyumbani, ila speed itategemea na umeme ulioletwa kwenu. Ila umeme wa nyumbani Tegemea kuchaji slow kama ni ule wa kawaida.
Hiko hivi, wameweka charging levels mbalimbali kutegemea na umeme unaokuja kwako. Home nyingi ni Level 1 na Level 2, ambao ni AC current na wakati ule ambao wanaita Public (mfano unakuta mtu anaweka station ya kuchajia pale Mlimani city) inakuaga DC fast charging, Level 3.
Level 1 inatumia 120 Volt outlet (AC current), inatoa 1 -2 kW ya power, na mara nyingi ukichaji kwa saa 1 inakupa kama kilometa 6-8 hivi za range.
Hii inaweza kuchukua masaa 24 hadi 40 kujaza full charge battery (factors zipo nyingi za kutofautiana muda).
Level 2 inatumia 240 Volt (AC current) hii inatoa 19 kW ya power na kwa saa 1 inaweza kukupa kilometa 15 hadi 30 hivi. Hizi pia zinaweza kupatikana nyumbani, makazini na public charging stations.
Level 3 ndio inaitwaga DC fast charging. Hii yenyewe inatumia DC currentna inaweza kuongeza kilometa 5 hadi 30 kwa dakika utakayo charge, kwasababu inatoa power rate kubwa ya 25 hadi 350 kW.
Wanashauri uwe unapendelea kuchaji na Level 1 au 2 mara nyingi kuliko Fast Charging.
Na pia hakikisha chuma inakua na charge 30% hadi 85% ili battery idumu sanaaaa.
Massive Government subsidies , makampuni ya China ni ngumu kushindana nao maana hata wakiuza kwa hasara ,CCP government inawapa subsidies kufidia hasara .Chery ni balaa hii kampuni Wana ndinga zinatisha
Chery tena waja na T1 na T5 SUV
Chery tena wazindua SUV mbili kwaajili ya off-road. T1 na T5.
View attachment 2975258View attachment 2975259
T1 ni hybrid SUV yenye 1.5L engine.
View attachment 2975260View attachment 2975261
T5 pia ni Hybrid SUV yenye engine 2.0L ambayo ukiweka full tank na full charge inaenda kilometa 1400.
[/QUOTE
Hii copy ya ford Bronco. Kuanzia muonekano
Mchina ni hatari sanaMarekani wameshikwa pabaya na China
Ndani ya mwezi huu Marekani imewatuma wajumbe 2 waende China ziara tofauti
Janet Yellen (US Treasury Secretary)
Antony Blinken (US Secretary of State)
Wote katika ajenda zao mojawapo ya ajenda yao wanailalamikia China kuwa inachofanya sasa ni industrial overcapacity ikitia ndani kwenye utengenezaji wa EV
Wamesahau kuwa China imewekeza sana kwenye industrial robot na autonomous AI-based driving system
Hakuna unachokijua wewe.Marekani ni mafala Sana yaani hawa wajinga wanataka kilakitu wanachofanya dunia ipokee kama kilivyo bila challenge angalia mfano wa simu zao za Apple hazina lolote la maana Ila wanataka dunia tununue huku wakiuza bei ya juu .
Angalia mfano wa App ya tik tok inavyowatesa wamarekani wanajua baada ya simu kadhaa mitandao Yao ya Facebook na Instagram hawatakuwa na soko .
Huawei ndiyo simu yenye camera Kali Ila Leo hii imepigwa marufuku USA
Nilimsikia mwigulu akisema electric car wataondoa Kodi, SS sijajua kama anatania ama KweliWatengeneze tu na z solar, mchana unatumia solar tupu na kuchaji betri, usiku unatumia betri yako.
Mchina nyoko ndio maana mmarekani anampiga vita.
Befoward nimeiona xiaomi su7 zimetembea km kama 30 hivi dola 30k na ushehe,
Sasa najiuliza vipi hawa TRA!!?
Kaamua kumlinda Tesla, Tesla Yuko njia panda, SS Bongo tuna nyumbu yetuKasha ahirisha utengenezaji wa magari hayo, ana sema sio Jambo la Leo au kesho
Ana taka kuwekeza kwingine
Haja mlinda mtu, shida ni kupata minimum cost katika uzalishaji.Kaamua kumlinda Tesla, Tesla Yuko njia panda, SS Bongo tuna nyumbu yetu
Ndio maana CCP nawakubali Sana.SafiiiiMassive Government subsidies , makampuni ya China ni ngumu kushindana nao maana hata wakiuza kwa hasara ,CCP government inawapa subsidies kufidia hasara .
Unfair competition
Huwezi shindana na makampuni ya China Kwa mwendo huu
Imefikia kipindi BYD na wengine wanafanya kuua soko kwa kuuza kwa dumping price isiyoendana na uhalisia