Updates za Geita Gold FC kimataifa

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Aisee sie wazee wa moko wa kuzama kwenye maduara mashabiki wa GGFC aka wazee
wa dhahabu tunaulizia mwendelezo wa kimataifa tujue matokeo.

Tulijiandaa kuvuka ferry kushudia kandanda pale ccm kirumba stadium ila wakaisogezea chamanzi kule pakucheza kwenye chemli.
 
Geita 2 Wasudani 1, hivyo Geita out kwa goli la ugenini
 
Hii kitu inanikera kinoma an!! Hizi mambo za goli la ugenini zmepitwa na wakati
Geits wameonesha kukosa uzoefu wa mechi za kimataifa!

Nimeumia sana hawa jamaa kutolewa maprma ivi.

Huku napo hali ni tete KMKM dhidi Al Ahaly Tripol, KMKM kashapigwa 2 bila dak ya 25
 
Duuh, hii kazi tuwaachie wakubwa Simba, Yanga na Azam huenda wakaliwakilisha Taifa vema. Geita wametolewa kiume
 
Mfungaji bora wa ligi yetu aliyetengenezwa na Wahuni wa KICHEFUCHEFU Mpole leo kafunga?
 
Geits wameonesha kukosa uzoefu wa mechi za kimataifa!

Nimeumia sana hawa jamaa kutolewa maprma ivi.

Huku napo hali ni tete KMKM dhidi Al Ahaly Tripol, KMKM kashapigwa 2 bila dak ya 25
KMKM na hizo za zenj usiwe unazihesabu mashindano ya CAF hawana ubavu nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…