Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

Ukute kazini wamerogana?!

Sakizi ?!
Hili nalikubali tena kwa 100% zote Mkuu. Kuna mkubwa Mmoja wa buko ( sasa Mstaafu ) aliwahi kuniambia kuwa katika 100% ya Wanajeshi wasioroga ni 1% tu na kwamba huwa Wanaumizana mno katika Uteuzi au Ufanyaji Kazi katika Sekta za Kijeshi zenya Malipo mazuri, makubwa na unaweza Kupiga cha Juu ( 10% ) katika Manunuzi ya Bidhaa / Vitu vya Kijeshi.
 
Oya kuna jamaa kakuibia content kaiweka twitter
 
Anafanya Mazoezi ya kuja Kuikanusha hii Taarifa yangu GENTAMYCINE mbele ya Media ( katika Press Conference atakayoiitisha hivi Karibu tu ) huku AKITUTISHA Watu kutoripoti Matukio yao kwa Raia ambayo mengi huwa ni ya Kipuuzi tupu.
Mkuu Wala usiwe na woga,jambazi huyu in uniforms amekipata alichokua anakitafuta, wapi respect kwa raia?awamu ya kwanza ya utawala wetu ,wanajeshi wetu waliheshimiwa mno kwa sababu na wao walijiheshimu
 
Pumzika Kamanda ...
Somebody had to Go on this!
 
Aisee
 
🤣Ila si kakopi kutoka kwa GENTAMYCINE
Kakopi Kweli kutoka Kwangu ila kwa Kitendo cha kutoa Credits Kwangu Kitaaluma na Kiuweledi hajafanya Kosa lolote sana sana kazidi tu kunipa Credits tofauti na wanaonifanyia hivyo ( Kukopi ) Mada zangu mbalimbali hapa JamiiForums na kujifanya ni zao.
 
Kakopi Kweli kutoka Kwangu ila kwa Kitendo cha kutoa Credits Kwangu Kitaaluma na Kiuweledi hajafanya Kosa lolote sana sana kazidi tu kunipa Credits tofauti na wanaonifanyia hivyo ( Kukopi ) Mada zangu mbalimbali hapa JamiiForums na kujifanya ni zao.
Kabisa mkuu mada zako ni nzuri sana
 
SAUT hamtokuja kupata kipaji cha ajabu kama cha Mr GENTAMYCINE

Nakutabiria makubwa mbeleni

Za ndani ndani naskia ulitungua first class pale kwa mtakatifu

Multi talented
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…