Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
USA ili week kumenoga. Las Vegas kuna Formula 1 wakati LA kuna biggest car show, LA Auto Show.
Ni show ya magari inayofanyia LA USA kila mwaka, tunaona magari mapya, concept na tech mbalimbali.
Tayari Hyundai Ioniq 9 tumeshaizindua na ndio moja ya gari nilioipenda katika show.
Wenye bando mnaweza fuatilia katika website yao wana live updates.