Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Nov 24, 2024 #1 USA ili week kumenoga. Las Vegas kuna Formula 1 wakati LA kuna biggest car show, LA Auto Show. Ni show ya magari inayofanyia LA USA kila mwaka, tunaona magari mapya, concept na tech mbalimbali. Tayari Hyundai Ioniq 9 tumeshaizindua na ndio moja ya gari nilioipenda katika show. Wenye bando mnaweza fuatilia katika website yao wana live updates.
USA ili week kumenoga. Las Vegas kuna Formula 1 wakati LA kuna biggest car show, LA Auto Show. Ni show ya magari inayofanyia LA USA kila mwaka, tunaona magari mapya, concept na tech mbalimbali. Tayari Hyundai Ioniq 9 tumeshaizindua na ndio moja ya gari nilioipenda katika show. Wenye bando mnaweza fuatilia katika website yao wana live updates.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Nov 24, 2024 Thread starter #2 Kia EV9 GT Tumeletewa SUV kutoka Korea KIA ambayo kwa namna moja au nyingine inafanana na Ioniq 9.