Updates za Mkutano wa leo Temeke

Updates za Mkutano wa leo Temeke

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Wadau mlio karibu na eneo la tukio au mnaopita karibu na eneo hilo, nini kinaendelea muda huu kuhusiana na maandalizi na maendeleo ya mkutano wa Bandari?

Tunaomba mtupe updates za kinachoendelea kabla mkutano huo haujaanza rasimi.

Karibuni.
 
Any updates
 
Station gani ya Tv itakuwa hewani wadau ili tulio mbali tufuatilie kupitia runinga
 
Wenzetu ndio wameanza safari muda huu kutoke huku pembezoni mwa mji wa dar kwenda huko kwa mkutano
 
Back
Top Bottom