Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Any updatesWadau mlio karibu na eneo la tukio au mnaopita karibu na eneo hilo, nini kinaendelea muda huu kuhusiana na maandalizi na maendeleo ya mkutano wa Bandari?
Tunaomba mtupe updates za kinachoendelea kabla mkutano huo haujaanza rasimi.
Karibuni.
Nimepita hapo watu wanaanza kumwagikaWadau mlio karibu na eneo la tukio au mnaopita karibu na eneo hilo, nini kinaendelea muda huu kuhusiana na maandalizi na maendeleo ya mkutano wa Bandari?
Tunaomba mtupe updates za kinachoendelea kabla mkutano huo haujaanza rasimi.
Karibuni.
Jambo tv online wapo liveNimepita hapo watu wanaanza kumwagika
Wewe ujua kugombea mab.sha tuMkutano wa nini?
Hii ushu ni serious sanaNimepishana na Daladala sijui imekodishwa au ina root za huko ila imejaa watu, hasa wamama wanaimba wanataka Bandari yao, nadhani hii kitu sio ya kuwapa kina Kitenge na Mwijaku wajijibie Serikali, this is Serious issue.
Wafke salamaWenzetu ndio wameanza safari muda huu kutoke huku pembezoni mwa mji wa dar kwenda huko kwa mkutano
Mkutano wa injili.Mkutano wa nini?