hivi mpaka leo wanasubiri kitu gani kuita watu kwenye usaili? bora waweke wazi watakaofanya usaili ili watu tuwe huru kuliko kukaa na mzigo wa matumaini ya kitu kisichokuwepo
Kwa taarifa niliyoipata kutoka kwa chanzo cha kuaminika ni kwamba kuna kilaza na pimbi mmoja UDOM anauzia watu zile nafasi za kazi kwa wenye uhitaji kwa TZS 500,000/= mpaka sasa kashashika watu kama sita hivi. nchi hii ishauzwa ndugu zangu tusio na wa kutushika mkono tuanze kufanya mipango ya kujiajiri. TAKUKURU PLEASE FANYENI KAZI YENU
Naomba kuwasilisha wadau
TAFADHALI SANA NAOMBA MNAPO TOA TAARIFA HUMU NDANI ZIWE NI ZA UHAKIKA NA KAMA KUNA UWEZEKANO TOA CHANZO. MIMI NIPO UDOM, UTAWALA, MCHAKATO WA KUAJIRI UNANDELEA KAMA KAWAIDA, NA KILA IDARA IKO NA WATU WAKE, NA ZAIDI YA HAPO MAJINA YANAPITISHWA KWA WATU WA UTUMISHI, SASA KAMA WEWE UMEAMBIWA UTOE 500000 TSH, UNADANGANYWA, MAANA HII KAZI HAIFANYWI NA MTU MMOJA.Kwa taarifa niliyoipata kutoka kwa chanzo cha kuaminika ni kwamba kuna kilaza na pimbi mmoja UDOM anauzia watu zile nafasi za kazi kwa wenye uhitaji kwa TZS 500,000/= mpaka sasa kashashika watu kama sita hivi. nchi hii ishauzwa ndugu zangu tusio na wa kutushika mkono tuanze kufanya mipango ya kujiajiri. TAKUKURU PLEASE FANYENI KAZI YENU
Naomba kuwasilisha wadau
TAFADHALI SANA NAOMBA MNAPO TOA TAARIFA HUMU NDANI ZIWE NI ZA UHAKIKA NA KAMA KUNA UWEZEKANO TOA CHANZO. MIMI NIPO UDOM, UTAWALA, MCHAKATO WA KUAJIRI UNANDELEA KAMA KAWAIDA, NA KILA IDARA IKO NA WATU WAKE, NA ZAIDI YA HAPO MAJINA YANAPITISHWA KWA WATU WA UTUMISHI, SASA KAMA WEWE UMEAMBIWA UTOE 500000 TSH, UNADANGANYWA, MAANA HII KAZI HAIFANYWI NA MTU MMOJA.
UKWELI NI KWAMBA APPLICANTS NI WENGI NA WENGI HAWANA VIGEZO, NI PAMOJA NA KUWA NA VYETI BATILI.
ANDIKENI UKWELI.:shock:
Weka mtego na takukuru tumitie adabu huyu pimbi otherwise tutakuona muongo na mnafikiKwa taarifa niliyoipata kutoka kwa chanzo cha kuaminika ni kwamba kuna kilaza na pimbi mmoja UDOM anauzia watu zile nafasi za kazi kwa wenye uhitaji kwa TZS 500,000/= mpaka sasa kashashika watu kama sita hivi. nchi hii ishauzwa ndugu zangu tusio na wa kutushika mkono tuanze kufanya mipango ya kujiajiri. TAKUKURU PLEASE FANYENI KAZI YENU
Naomba kuwasilisha wadau
Asante kwa kukanusha uzushi uliotolewa
kwa msaada tuu twaomba utuambie majina kwa ajili ya interview yatatoka lini.
TAFADHALI SANA NAOMBA MNAPO TOA TAARIFA HUMU NDANI ZIWE NI ZA UHAKIKA NA KAMA KUNA UWEZEKANO TOA CHANZO. MIMI NIPO UDOM, UTAWALA, MCHAKATO WA KUAJIRI UNANDELEA KAMA KAWAIDA, NA KILA IDARA IKO NA WATU WAKE, NA ZAIDI YA HAPO MAJINA YANAPITISHWA KWA WATU WA UTUMISHI, SASA KAMA WEWE UMEAMBIWA UTOE 500000 TSH, UNADANGANYWA, MAANA HII KAZI HAIFANYWI NA MTU MMOJA.
UKWELI NI KWAMBA APPLICANTS NI WENGI NA WENGI HAWANA VIGEZO, NI PAMOJA NA KUWA NA VYETI BATILI.
ANDIKENI UKWELI.:shock:
Very soon, na inategemea kila school kwa Academicians na kwa administrators pia inategemea kitengo, ila nikuhakikishie kwamba mambo ya ku-shortlist yameisha, so anytime likiisha zoezi la kupokea wanafunzi wa mwaka wa kwanza na wanaendelea, mambo yatakuwa sawa, kama ulikuwa na vigezo, kaa mkao wa kula.
Ukistaajabu ya MUSA utayaona ya Firauni, yawezekana wewe ni junior staff wa UDOM na bado hujui system ilivyo, taarifa niliyoitoa ni sahihi kwa asilimia 100, mwaka jana hadi watu wa idara ya fedha walikuwa wanaomba rushwa ili na kwa majina nawafahamu, mie sio mgeni ya UDOM HUYU ALIYEOMBWA LAKI TANO NIMEMALIZA NAYE CHUO PALE PALE UDOM.
ndo shida ya watu wa jukwaa hili kila watakaloambiwa wanafikiria ni uzushi,