Upeanaji number za simu

Nono ze utamu

Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
34
Reaction score
3
Wadau naomba tutete kinaga ubaga,kuna jamaa yangu kanipa no ya binti mmoja na binti nimeisha ongea nae several time ila yet sijamwambia linalo nisibu kwake,na leo kaniomba tukutane na hatujawahi onana je unahisi ni maneno gani yanafaa mi kunena nae pale tutakapokutana?
 
yale yooote uliyokua unamwambia kwenye simu...leo mmwagie live...ukishindwa una mapungufu....

tahadhari:anaweza akawa hana mvuto ukakosa pozi...jipange kiivyo pia!
 
wakati unaanza kuongea nae nin malengo yako? je kuna ahadi yoyote uliahidi? katka majibizano ya simu nani alikuwa msikilizaji zaid au kiongoz wa maongez?

 

Lipi linalokusibu kwake kama hujawahi kumwona?
Is it so necesary mwisho wa kuwasiliana mtongozane?hamuwezi kuendelea kua marafiki bila kutongozana?
Kazi kweli kweli..
 
Ukifika,anza kumpgia story za nyumban kwenu,mwelezee mtatzo yote yanayoikabali familia yenu,pia muongelee matatzo ya kisiasa yanayolikabili taifa la tz
 
Angalia tu usienda ma speed, usije shikwa na radar...mana huwezi kujua umetegewa wapi.

 
yale yooote uliyokua unamwambia kwenye simu...leo mmwagie live...ukishindwa una mapungufu....

tahadhari:anaweza akawa hana mvuto ukakosa pozi...jipange kiivyo pia!

Na bahati mbaya saana BAGAH....unaweza kuta mkaka mwenyewe ndo kiporo haswaaa! Lol
 
hiyo namba ya simu ulipewa kwa lazima au uliitaka mwenyewe? na kama uliitaka mwenyewe ulikuwa na malengo gani?
 
Hata mimi cjui cha kukwambia ila nahic utakipata tu ukimwona huyo binti....
 
yale yooote uliyokua unamwambia kwenye simu...leo mmwagie live...ukishindwa una mapungufu....

tahadhari:anaweza akawa hana mvuto ukakosa pozi...jipange kiivyo pia!
Hehhheheeh hilo nalo neno mvuto muhimu jamn looh
 
mmmh mwenzangu mi hiyo inatokeaga mi huwa sirembi when u meet u wit me napiga story bt kama ulikuwa unajishaua ktk simu nd utaumbuka n tatizo mnapenda tongoza tongoza saana yan hamna subra wala kutaka urafiki haya ze utamu nenda kamwage swaga kwa mrembo
 
Nnaimani ukiwa kama mwanamme hushindwi lakuongea na unaweza kuongea zaidi hata ukajishanga,muhimu usijipambe sana mpaka ukamchosha,sio kila mara mimi hivi mimi vile, kua kawaida uliza maswali kwa upendo,jaribu kumuangalia unapoongea nae,sio akiptia mwengine macho peku peku kama yameingia vumbi haipendezi,ukisharejea nilete majibu......jengine nimesahau usije ukamuendea na X6 utakua umeoga vumba, ubishoo uwache nyumbani.

 
ok dodondoo kidogo... kwanza BE URSELF (kuwa wewe kama wewe) pili dont talk everything about u,, muache mdada aongee we msikilize,, akiongea mwangalie machoni,, ikitokea hayupo as HOT as ulivyofikiri usimwoneshe just smile and be nice, na kama mmeshaongea sana kwa simu maybe ushajua vitu anavyovipenda so do them,,, mimi napendaga sana blind dates... ila sio zote they turn out as i hope... so watever happens just enjoy urself

 

hari utakayomkuta nayo ndo itakupa maneno ya kusema
 
Tehe, tehe....habari ya siku ya Muungano day
 
Mwambie "tuwahiiiii...!", maongezi mengine baadae.
 
Aisee!!!! Unatisha
 
Sasa wewe namba umeomba mwenyewe na umepewa halafu sasa cha kuongea naye utuulize sisi jamvini si kuoneana huku?
 
binti nimeisha ongea nae several time ila yet sijamwambia linalo nisibu kwake

kama ushaongea naye several times ina maana tayari kuna msingi wa mazungumzo, so ni suala la muendelezo on a face-to-face basis tu...

leo kaniomba tukutane na hatujawahi onana je unahisi ni maneno gani yanafaa mi kunena nae pale tutakapokutana?

kama lengo la kukutana ni kujuana na kuzidi kufahamiana zaidi, hakuna sababu ya kuwa stressed out: just be prepared kukutana na binti wa aina yoyote (it doen't matter whether ni kiazi, kiporo etc kama wanavyodai wengine) and rise to the occassion...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…