Upele kwenye Kichwa cha Uume

Stanboy

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
1,114
Reaction score
1,308
Habari ndg zangu,
Napenda kujulishwa ni dalili ya ugonjwa gani hiyo hapo juu.
Asante
 
Asante ndg,
Tatizo so mimi ni jamaa yangu ndo ana hii dalili...so siyo rahisi kupata picha.

Anyway nitamuomba anipigie picha then nta-attach hapa
 
Asante ndg,
Tatizo so mimi ni jamaa yangu ndo ana hii dalili...so siyo rahisi kupata picha.

Anyway nitamuomba anipigie picha then nta-attach hapa

Chora picha ya dushe na hicho kipele kisha ipige picha sio lazima ushushe picha ya mtambo wenyewe!

Kisha mwambie akuelezee kua kinauma au la kinawasha ama LA!
 
Chora picha ya dushe na hicho kipele kisha ipige picha sio lazima ushushe picha ya mtambo wenyewe!

Kisha mwambie akuelezee kua kinauma au la kinawasha ama LA!
Kwa maelezo yake hakiumi hata kidogo,muonekano wake ni kama chunusi tu
 
Nafikiri ni dalili ya syphilis(kaswende). Angalia sana. Kitaalam chaitwa chancre!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…