Jingine lililiokuwa limeandika utumbo ni lile linaloitwa Al-Nuur, mi nashangaa sana mbona magazeti ya Wakristo hayaandiki vitu vya namna hii? Kwani kosa la Kakobe ni lipi? Mbona hakutaja mtu, yeye aliuliza na hotuba yake niliichuja kwa umakini kwa sikio la kusikia sio la kukebehi.
Au ndo Jamaa kaona silaha yake ya mwisho ni kukimbilia DINI.....nashawishika kuamini hivyo