Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili na wanafunzi wao lipo sana.Mzee fafanua hapa zaidi, mara nyingi vyuo vina upendeleo kwa wanafunzi wao. Katika hii accusation hebu jazia jazia nyama zaidi.
Ni rahisi kwa graduate wa chuo husika ku copy culture na behavior ya tasisi husika maana ame experience wakati alipokuwa anasoma, modules za vyuo zinatofautiana saana mfano Alichofundishwa mtu wa UDSM kinaweza Kuwa tofauti na mzumbe hata kwenye crosscutting subject kama DST, Communication skills etcHili na wanafunzi wao lipo sana.
Mimi naweza kuongezea sababu ya upendeleo huo, ni kuwa hao wanafunzi wanajulikana na Chuo na wanaielewa culture ya chuo kwa undani na wataweza kumudu mambo vizuri kwa muda mfupi tofauti na kutoka vyuo vingine.
Placement ya MUHAS juzi nimeona wahitimu wengi wa mule wamepata nafasi
SUA nako kuna harufu za ukabilaNi rahisi kwa graduate wa chuo husika ku copy culture na behavior ya tasisi husika maana ame experience wakati alipokuwa anasoma, modules za vyuo zinatofautiana saana mfano Alichofundishwa mtu wa UDSM kinaweza Kuwa tofauti na mzumbe hata kwenye crosscutting subject kama DST, Communication skills etc
Pia Kuna vyuo vinaamini Kuwa chuo bata hata wanafunzi wanasoma kwa ku relax wakati vingine msuli nondo kama secondary.
Hicho ndicho nilichomaanisha mkuuNi rahisi kwa graduate wa chuo husika ku copy culture na behavior ya tasisi husika maana ame experience wakati alipokuwa anasoma, modules za vyuo zinatofautiana saana mfano Alichofundishwa mtu wa UDSM kinaweza Kuwa tofauti na mzumbe hata kwenye crosscutting subject kama DST, Communication skills etc
Pia Kuna vyuo vinaamini Kuwa chuo bata hata wanafunzi wanasoma kwa ku relax wakati vingine msuli nondo kama secondary.
Kabila gani limedominate hapo?SUA nako kuna harufu za ukabila
Wachaga na wahaya.Kabila gani limedominate hapo?
Kumbee, ndio maana mama wa hela za mboga naye ni Alumni wa SUAWachaga na wahaya.
Amesoma pale akafundisha tena pale😂😂😂Kumbee, ndio maana mama wa hela za mboga naye ni Alumni wa SUA
Kuna nini mwaisa tupo😀Wanyakyusa tujuane