UPENDELEO: Ajira Vyuo Vikuu

Hahaha hujaeleweka weka apa jina la uyo mtu, vigezo vyako tuone kama umeonewa bahati ya mtu usiilalie mlango wazi.

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Mzee fafanua hapa zaidi, mara nyingi vyuo vina upendeleo kwa wanafunzi wao. Katika hii accusation hebu jazia jazia nyama zaidi.
Hili na wanafunzi wao lipo sana.

Mimi naweza kuongezea sababu ya upendeleo huo, ni kuwa hao wanafunzi wanajulikana na Chuo na wanaielewa culture ya chuo kwa undani na wataweza kumudu mambo vizuri kwa muda mfupi tofauti na kutoka vyuo vingine.

Placement ya MUHAS juzi nimeona wahitimu wengi wa mule wamepata nafasi
 
Huwezi kuita interview candidate 1 hiyo ni Hand picking Ni Bora ungempa Ajira moja kwa moja bila interview.
 
Hizi nafasi za chuo huwa zinaenda kwa wanafunzi waliosoma hapo mara nyingi pia na ukabila sanaa
Kwamfano nimesoma chuo jamaa aliyekuwa mbele yetu alikuwa kipanga sana afu pia anajua kweli halafu this time around kaitwa interview ya TA wala hata sikujisumbua kwenda kwenye interview ,ingawaje waliita kwakupiga simu
 
Kwa system yetu sasa hivi ni kwamba kama umesoma nje ya chuo husika, ni vigumu sana kupenya. Hivyo mfano SUA wakitoa post za TA ni kwaajili ya wanaSUA, MUHAS hivyo hivyo, UD, Mzumbe etc
 
Ni rahisi kwa graduate wa chuo husika ku copy culture na behavior ya tasisi husika maana ame experience wakati alipokuwa anasoma, modules za vyuo zinatofautiana saana mfano Alichofundishwa mtu wa UDSM kinaweza Kuwa tofauti na mzumbe hata kwenye crosscutting subject kama DST, Communication skills etc

Pia Kuna vyuo vinaamini Kuwa chuo bata hata wanafunzi wanasoma kwa ku relax wakati vingine msuli nondo kama secondary.
 
SUA nako kuna harufu za ukabila
 
Hicho ndicho nilichomaanisha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…