Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Toka zoezi la kupata chanjo lizinduliwe rasmi kuliwekwa vipaumbele kwa makundi matatu.
Halafu Kuna watu hawajafika 50, si wahudumu wa afya na huenda hawana magonjwa ya Mara kwa mara wanapata chanjo, kwa mfano
Shaka (Wa CCM) hajafikisha 50 na Wala sio mhudumu wa afya lakini kachanjwa.
Jokate Mwegelo, na wengine.
Sasa sisi wengine tukienda kuchoma mbona tunakataliwa. Tuliopo tayari wangeturuhusu tuchome kwa vile Ni hiari na imani chanjo zilizopo zingetufaa.
My Take:
Kitendo Cha kutuzuia wengine kuchoma chanjo napata wasiwasi huenda akina Gwajima akina Polepole wanatumika na Serikali ili kuficha aibu ya serikali kuishiwa chanjo mapema.
- Waliofika miaka 50 na zaidi
- Wahudumu wa afya
- Wenye magonjwa ya Mara kwa mara