Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada nimeona umependekezwa kuwa mmoja wa mods ya JF ire yenyewe ya CCM.
Hizo swala si haba kwako dada.
Au nasema uongo ndugu zangu?
JF ipo moja tuu inayowabeba wote chama tawala na vyama pinzani, raia wa Tanzania na wasio raia, imani zote, kabila zote, rangi zote na maifa yote. Kinachotuweka pamoja ni kupata habari, elimu na kuelimishana, kufurahi pamoja👍✌
Asante na wewe kwa kuwa zawadi kwangu brazaj longlive JF🙏
❤🙏Asante dadaangu ya nini kuombeana kufa?
Kwa kweri mama D wewe si haba. Siyo siri hauko kama ware wengine. Kwa kweri long live bi dada na wale wenzio wachache tokea pande za huko ambao mngalinao ujasiri wa kukemea ikibidi.
Ama kwa hakika pamoja na yote, wewe bado ni wa kupigiwa mfano.
Karibu.
Alitutukana huyu....
Mm sisamehi...wafe tuWanasema tuwe tayari kusamehe x7x70.
Hata huyu akili ikimrejea,
View attachment 1719330
Mtanzania mbona ni mwenye kusamehe?
Au nasema uongo ndugu zangu?
Nakuelewa na kuyaheshimu mawazo yako mkuu.Mm sisamehi...wafe tu