Poleni mabii na mababu, najua time hz watu mmechokaa!!
me ni kama nimegundua ila nisaidieni kuhakiki hii ki2, hivi jamani upendo a chuki vinatenganishwa na lea ndogo sanae?
manake nimeshuhudia upendo wa hali ya juu ambao kwa sasa umegeuka bonge la chuki.Watu haa kuonana hawataki.
Nazungumzia romantic love hapa, sio Agape love.