Una ubavu wa kushindana na Diblo Dibala wa Namungo FC? Muulize Kafulila mzee wa PPP atakupa majibu ilivyo vigumu kushindana nae hadi akasalimu amri maeneo ya Singida pale.Hivi huyu binti atakuwa hajaolewa bado ili nipeleke posa!!
Dah! Basi huyo Diblo Dibala wa Namungo FC atakuwa anafaidi sana. 😊Una ubavu wa kushindana na Diblo Dibala wa Namungo FC? Muulize Kafulila mzee wa PPP atakupa majibu ilivyo vigumu kushindana nae hadi akasalimu amri maeneo ya Singida pale.
Hiyo ni Mali ya wajumbeHivi huyu binti atakuwa hajaolewa bado ili nipeleke posa!!
Utavumilia alufu ya Kisamaki?Alisahaulika kabisa.
🤣🤣🤣🤣Mkuu wa kitengo cha hamasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makao makuu Upendo Peneza amejitosa kuomba ridhaa ya chama kuwania nafasi ya Ubunge jimbo la Geita mjini Mkoani Geita.
Hii ni mara ya pili kwa Peneza kuomba nafasi hiyo ambapo mwaka 2020 aligombea jimbo hilo kupitia Chadema lakini hakufanikiwa, sasa anarudi tena kwenye kinyang’anyiro hicho akiwa ndani ya CCM.
Alijiunga rasmi na CCM Januari 22, 2025, baada ya kukihama Chadema ambako alikuwa Mweka Hazina wa Kanda ya Ziwa Victoria.
Ikiwa atapitishwa na chama, atapimana nguvu na aliyekuwa mbunge wa sasa, Costantine Kanyasu, pamoja na wengine wanaoendelea kuchukua fomu ndani ya CCM.
View attachment 3390660
Unaoje ccm mkuu🤣🤣🤣Hivi huyu binti atakuwa hajaolewa bado ili nipeleke posa!!