Upendo Peneza: Usitegemee kamati ya LAAC kutenda Haki kwenye Ripoti ya CAG kwa sababu Halima Mdee yuko bungeni Kimchongo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Aliyekuwa mbunge wa viti Maalum Upendo Peneza amesema katika kushughulikia ripoti ya CAG hana Imani na Mwenyekiti wa LAAC na yule wa PAC kwa sababu wako bungeni kinyume cha Katiba.

Peneza amesema Mdee hawezi kuikagua Serikal inayomfanya awepo bungeni hadi leo.

Source: Star tv The Big Agenda.
 
kweli kabisa. bora hata angekuwa Mpina
 

Hata yy angepata hiyo opportunity asingeachia
 
A lot of sense
 
Wewe johnthebaptist unahusika katika upuuzi huu maana ulimshabikia Jiwe na ukatili wake, kuvunja katiba na sheria na maovu yote. Au wewe ndiye yule mdaiwa na Membe πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ™„ πŸ™„ 😳 😳 πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Unadhani Upendo angealikwa na Jiwe awe Mbunge na akina Halima Mdee angetaa?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…