Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Je ni mara ngapi unahitaji mtu akupende? Je ni mara ngapi unasema nakupenda? ni mara ngapi unasema tupendane? au umewahi kusikia kauli hii "Upendo"
Kauli hii ina maana gani? na ulio wasikia wanaitamka wame maanisha nini? ni wangapi mmeitwa na hii kauli? na wangapi mmeteuliwa na hii kauli? ni wangapi mpaka sasa mnaishi katika hii kauli?
Washairi,watunzi wa nyimbo na vitabu, Viongozi wa dini na hata wanafalsafa wanaongelea kuhusu upendo, lakini unawaelewa wanacho kielezea?
Kwani upendo maana yake nini? unaposema upendo wa Mungu ni mkuu una maanisha nini? Ikiwa alikupenda vipi uwapo wa Shetani.Ni kuwa anahitaji kupima upendo wako kwake?
Ni mara ngapi upendo umekufanya uhaidi viti ambavyo huwezi kuvitimiza, kwahiyo ili uupate upendo wa Eros ni lazima udanganye. Kwani hujawahi kumwambia mtu unampenda na utamuoa au kuolewa naye
Hivi kuchukua au kutoa ndiyo upendo? unaamini kila upendo hauhitaji masharti? unaamini kila upendo hauna sababu? au umeamua kudanganya hauna sababu ili upate sababu ya kuficha sababu.Wewe hujawahi kumwambia binadamu mwenzio hujui umempendea nini?
Eti hivi bila chuki ungeujua upendo? kivipi ungeujua isingekuwapo chuki? Unaweza kumpa binadamu mwenzio upendo bila sharti lolote lile " Ninakupa upendo wangu lakini usiniumize" kwanini akuumize wakati anakupenda au huamini yakuwa anakupenda kwakua hujui imani ni nini? Kama una nipenda fanya hivi? upendo unahitaji hivyo
Hivi kuua ni upendo? kuna uuaji unafanywa kwa jina la Mungu je huyo Mungu ameruhusu muuane? Lakini kwani kifo nani kakiumba? Ikiwa ni Mungu kwanini akiumbe? Ikiwa kaumba kama njia ya kukutana naye,kwanini sasa mwenzenu akifa mnalia? au aliye kiumba alikosea kukiumba
Lakini ni vipi ungejijua yakuwa upo hai bila kifo?kwani kinacho fanya wewe uwe mwanaume si kwasababu yupo Mwanamke huu nao ni upendo kwakua unahitaji kitu ili ufahamu kuhusu kitu.
Inawezekana upendo upo hapa Kutoa na Kupokea . Lakini ni ipi maana nzuri ya upendo ambayo itaufaa ulimwengu na kuufanya uchipue kisahihi