Mbona kichwa cha habari kizito afu yalio ndani mepesi
Shukrani, ila misukosuko mnayoyaona ndio ukomavu wa demokrasia, hatutaki kuishi kwa mazoea, hilo tulilikataa zamani. Uchaguzi usiwe tu igizo fulani la kuwafurahisha wazungu ili watoe misaada. Nafikiri majirani zetu wengi ndio wangehitaji maombi zaidi maana wengi wapo gizani, kwa mfano kule Uganda rais anapitiza sheria ya kukaa madarakani hadi siku ya kifo chake.
Kwa kifupi udikteta umetamalaki kwenye Afrika Mashariki, utawala wa kimabavu na mikwara, ila hapa Kenya tunajaribu kuhakikisha hatutarudi huko. Wakenya unaowaona wakikimbia kimbia mjini kwenye maandamano wana haki yao ya kuhoji na ni mashujaa, pamoja na kwamba mimi binafsi nampigia rais Uhuru kura yangu, lakini nakubaliana na hoja za hawa ndugu zangu, kuna kasoro zinafaa kurekebishwa.

Hata hivyo, siamini kama ni sawa kuwapuuza wanaowaombea mema ikiwa miaka 10 iliyopita mlichinjana na kuuana maelfu kwa maelfu na kuacha watoto yatima mitaani, meanwhile tunaona mnaelekea hukohuko mnakodai mmetoka,
Haiingii akilini ukidai mmekomaa ikiwa viongozi wenu na nyie wananchi pia mnakosa Hekima..
Labda nikukumbushe jambo, kwa sasa waafrica Tunahitaji maendeleo,
Democracy cant be imported like a bottle of coke, it have to grow according to a particular society, matching with a particular culture (Mwl.Nyerere),
Unlike the Western, instabilities zetu nyingi huanzia kwenye chaguzi, and this significantly delays behind our economic activities and lags being our progress.
What if we extend the terms to 10 years instead of 5 years to avoid such chaos and save Money??
Serikali ya Kenya imepiga marufuku maandamano kuanzia leo, maandamano yamekua kwa amani kwa kiasi kikubwa, sababu iliyotolewa na serikali ni ili kuokoa uchumi, je Kenya inaendeshwa kidikteta?Shukrani, ila misukosuko mnayoyaona ndio ukomavu wa demokrasia, hatutaki kuishi kwa mazoea, hilo tulilikataa zamani. Uchaguzi usiwe tu igizo fulani la kuwafurahisha wazungu ili watoe misaada. Nafikiri majirani zetu wengi ndio wangehitaji maombi zaidi maana wengi wapo gizani, kwa mfano kule Uganda rais anapitiza sheria ya kukaa madarakani hadi siku ya kifo chake.
Kwa kifupi udikteta umetamalaki kwenye Afrika Mashariki, utawala wa kimabavu na mikwara, ila hapa Kenya tunajaribu kuhakikisha hatutarudi huko. Wakenya unaowaona wakikimbia kimbia mjini kwenye maandamano wana haki yao ya kuhoji na ni mashujaa, pamoja na kwamba mimi binafsi nampigia rais Uhuru kura yangu, lakini nakubaliana na hoja za hawa ndugu zangu, kuna kasoro zinafaa kurekebishwa.
Kenya: A failing state on the road to genocide? | Pambazuka NewsShukrani, ila misukosuko mnayoyaona ndio ukomavu wa demokrasia, hatutaki kuishi kwa mazoea, hilo tulilikataa zamani. Uchaguzi usiwe tu igizo fulani la kuwafurahisha wazungu ili watoe misaada. Nafikiri majirani zetu wengi ndio wangehitaji maombi zaidi maana wengi wapo gizani, kwa mfano kule Uganda rais anapitiza sheria ya kukaa madarakani hadi siku ya kifo chake.
Kwa kifupi udikteta umetamalaki kwenye Afrika Mashariki, utawala wa kimabavu na mikwara, ila hapa Kenya tunajaribu kuhakikisha hatutarudi huko. Wakenya unaowaona wakikimbia kimbia mjini kwenye maandamano wana haki yao ya kuhoji na ni mashujaa, pamoja na kwamba mimi binafsi nampigia rais Uhuru kura yangu, lakini nakubaliana na hoja za hawa ndugu zangu, kuna kasoro zinafaa kurekebishwa.
I personally don't blame these dictators like you call them..utamaduni wetu ndio upo hivyo, level ya civilization ya Wazungu hatuendani Nayo,
Hata wewe kama ni Baba asili wa Kiafrica kwenye familia yako una elements za dictatorship (prove me wrong), and tell me what happens wewe kama baba ndani ya nyumba yako ukikosa sauti na Maamuzi??
tofauti na Wazungu ambao mtoto wa miaka mitatu atamfokea baba na baba ataomba msamaha,
Hatujafikia Level hiyo, kwa sasa tutafute maendeleo huku tukikosoa serikali in a good way, I accept we have dumb leaders who need public criticism, but we must remember this.

Serikali ya Kenya kupiga marufuku maandamano ya amani na yaliyokubaliwa kikatiba ya nchi, nini maoni yako katika hilo?Wewe naona umeniquote mara tatu kwenye bango moja tu, itakua nimekugusa penyewe na unapitia maumivu, ila ndio hivyo pole maana ni muhimu kuambizana ukweli humu.
Tatizo huwa unatumia nguvu nyingi sana kupindisha na kuongopea na mapropaganda kiasi kwamba inabidi tukupuuze humu hata ukijaza server na miinsha yako hiyo. Nilishakuambia hata kama unalipwa na hao CCM, jaribu kutumia akili kidogo.
Serikali ya Kenya kupiga marufuku maandamano ya amani na yaliyokubaliwa kikatiba ya nchi, nini maoni yako katika hilo?
Awamu iliyopita mmepewa hiyo democrasia na JK, tell me what hapened???Eti watanzania wanaona Kenya wanako practice democracy ndo kuna matatizo ila kwao wanakopewa kibano ndo pakoshwari, serious!!?
Biblia inasema "msinililie mimi (kwakua ni akheri mimi), jililieni nyinyi na watoto wenu"