Upendo wangu kwa Wanawake

msukule mzembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2022
Posts
253
Reaction score
302
Mimi kama msukule mzembe siku zote mtoto wa kike akiniambia i love you lazima nimpe laki 1 sijui nina ugonjwa gani.

Yeyote anaejua dawa ya kuacha huo ugonjwa anisaidie maana unanirudisha nyuma sana kimaendeleo kwa tabia hiyo hadi leo sijanunua gari na mshahara wangu sio mbaya wa mil 3 kwa mwezi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dogo unadhani humu fb? huna hata week toka umejiunga[emoji1787][emoji1787]
 
Mzee mpokee Yesu kua bwana na mokozi wa maisha yako!!!
Hutaonga tena pa kubwa🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…