Usilipize watu wasio kua na hatia,na ukijenga akili hiyi ktk maisha yako ujue utapotea sanaaaa,na hutokua na mwelekeo utajikuta unamiaka 50 bado una chovya chovya tuu na humalizi..
Soma thread ya The power of letting go alafu uje ufanyiwe maombi uyo pepo akutoke
nikuulize swali, huyo mwanamke ulizaliwa nae?
kwa nini mtu akuumize akili?
afterall hurt n pain ni kawaida kwenye mapenzi,
ukishindwa unaacha/unaachwa....
unatafuta mwingine......
i think advice will be of very much useful kuliko kuombewa au sio walimweusi
Hicho ndicho kinachokuuma, na sio kingine, sio kwamba unampenda ssaaaaaaaaaaana, ni kwamba tu umemkosa na yuko na mwingine, maisha ni yako, chaguo ni lako, chagua kulet go, chagua kupenda tena, chagua kufurahia upya maisha ya mapenzi, make a decision today and enjoy. Wa kiume wewe ndugu, usiwe na moyo teketeke kama wa kike, am not insulting u lakini namaanisha u have to sit down siku moja na kufikiri hali hii itakutesa mpaka lini, however much makelele yatapigwa na watu humu jukwaani, kama usipoamua mwenyewe kutoka moyoni ni kazi bure!!kessy bora angefariki ningejua kwamba sitamuona tena,lakini sasa yupo na ninamuona,mbaya zaidi anapokuwa na boyfriend wengine hapo mi ndio naumia zaidi na yeye anajua kama mi kwake nimeoza na ninahic anafanya makusudi ili kunitesa.
Ushauri wangu ni kwamba, wasahau hao wasichana wote ulokuwa nao huko nyuma, kuwa na serious relationship na msichana ambae mnapendana then get married usipoangalia utaishi maisha hayo hayo na mwisho wake nadhani unaujua.
kessy bora angefariki ningejua kwamba sitamuona tena,lakini sasa yupo na ninamuona,mbaya zaidi anapokuwa na boyfriend wengine hapo mi ndio naumia zaidi na yeye anajua kama mi kwake nimeoza na ninahic anafanya makusudi ili kunitesa.
thanx kwa ushauri,lakini naomba nikuulize swali moja;hv utajisikiaje mpenzi aliyekuwa kila mara ankupigia simu,meseji nzuri sana zenye kuimarisha upendo,lakini ghafla katikati ya utamu wa penzi anakwamia it's over tena without any reasonable reason,unajaribu kumbembeleza lakini unachoambulia mwishoni ni kuambiwa u are no longer loved
Hicho ndicho kinachokuuma, na sio kingine, sio kwamba unampenda ssaaaaaaaaaaana, ni kwamba tu umemkosa na yuko na mwingine, maisha ni yako, chaguo ni lako, chagua kulet go, chagua kupenda tena, chagua kufurahia upya maisha ya mapenzi, make a decision today and enjoy. Wa kiume wewe ndugu, usiwe na moyo teketeke kama wa kike, am not insulting u lakini namaanisha u have to sit down siku moja na kufikiri hali hii itakutesa mpaka lini, however much makelele yatapigwa na watu humu jukwaani, kama usipoamua mwenyewe kutoka moyoni ni kazi bure!!
The more unalipiza, the more the maumivu, pata msichana mmoja anayekupenda kweli, na wewe jenga upendo wa dhati kwake na muombe yeye akusaidie kutatua linalokusibu..............Jipange mzaz

nashukuru bra,mimi ni kijana wa kiume,nitafanyia kaz ushauri wako.
Ulishindwa kukueleza ukweli but mwombe Mungu utampenda anayekupenda ambaye ameshapendwa atakusumbua bure utaumia sana ndugu yangu .
Unafikiri hiyo ndio dawa, just let it go ili ufurahie maisha na upate raha ya kupendwa, tatizo lako unaogopa kuwa katika uhusiano tena ka sababu unahisi utaachwa tena, ila kila mtu kaandikiwa wa kwake utakuja pata wako utafurahia maisha upya