Upepo, mvua zaathiri miundombinu ya umeme

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Upepo mkali na mvua kubwa ambazo zimeendelea kunyesha maeneo mbalimbali hapa Nchini zimeathiri Miundombinu ya Umeme

Shirika la Umeme Nchini limeeleza kuwa hali hiyo imepelekea baadhi ya wananchi kukosa huduma ya umeme kwa nyakati tofauti

Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), imetoa tahadhari ya Mvua kuanzia Januari 22 - 25 kwa maeneo kadhaa Nchini yakiwemo Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Visiwa vya Unguja na Pemba



 
Wahandisi wa miundo mbinu Tanesco wote walighushi vyeti hawana uwezo ktk kazi
 
Wakati wa magu hayakuwepo haya,
Na kama yalitokea yalimalizwa fasta
Kimya kimya
 
AHSANTE KWA TAARIFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…