Hahaha ni kisa cha kufurahisa wakati huohuo kinasikitisha kwa mda huu najikita katika kufurahisa .. Watanzania wengi wetu tumekua upepo uliokosa mwelekeo kwa kifupi hatujielewi sababu kubwa ni ushabiki wa mambo na wanasiasa ikiwemo kukosa msimamo na njaa kisa hiki kinagusa pande zote mbili upinzani na Watawala ..
Leo hii kila mtu kalowa chepechepe na upepo uliopo sasa wakati huo juzi tu watu walikua kwenye upepo wa Refa flani wakiwa wanajaribu kuingia kwenye upepo wa Refa wa sasa wakitegemea kujipanga kushambulia upinzani Mama anageuka katikati ya mchezo na kuanza kutoa fair play kwa timu pinzani kumbuka game zote zilichezwa nyumbani mara ghafla mchezo utapigwa ugenini !!
Ooh ! Hahaha timu pinzani inashangilia kweli mashabiki kibao kocha toka timu pinzani anapewa achezeshe game ooh mama akataka fair zaidi kaachia kipyenga huyoo uwanjani mashabiki wa timu pinzani weeeee!!! Oyeeee ! Daah mama anapata tuta anafunga mwisho wa mchezo mama bingwa ..
Hahaha watu walisahau kuwa fair play yoyote hulenga kubeba upande flani yaani upande mmoja sasa ni ngumu kwa wafukuza upepo kuelewa wapo sehemu gani mpaka sasa !!
My take tukiongozwa kwa mawazo busara na hekima za mtu tutayumba kila siku mawazo ya mtu ama hekima hutegemea umeamkaje hayafungwi wazo huja na kutoka wakati wowote kwa namna hii tutacheza ngoma kwa kufuata tune tu ya wakati huo Dj akibadili wimbo hutacheza kwa mtindo uleule wa mwanzo !
SHUKRANI KWA BUSARA ANAZOTUMIA MH RAIS KUONGOZA NCHI .
Pamoja na hayo tuondoke hapa tulipo Sijui namaanisha nini mimi . Mchana mwema