Upholstery ya magari Dar es Salaam

Upholstery ya magari Dar es Salaam

Big Dy

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2015
Posts
478
Reaction score
585
Habari za mda huu wakuu, na poleni na majukum ya kujenga nchi.
Nina Prado fj120 ya 2004 nataka ku iupgrade kubadisha muonekano wake mpka 2021 nje na ndani,ni upholstery gani kwa hapa Dar es Salaam ni wazur wa hizi kazi na gharama zao ni nafuu
 
Upholstery na Gharama nafuu havikai sentence moja.

Labda Seat Cover na Gharama Nafuu ndio vinaendana.

Kama Seat Covers nenda Sinza wamejazana.

Kama Upholstery nenda Safari au Azam. Over. Kwingine utaibiwa tu.

Izo sehemu ukiwa na 3+ utabadirisha gari sana.
 
Ninachomaanisha ni kama hivi katika picha, ni kitu ambacho inawezekana kabisa
images (15).jpg
images (17).jpg
images (16).jpg
 
Upholstery na Gharama nafuu havikai sentence moja.

Labda Seat Cover na Gharama Nafuu ndio vinaendana.

Kama Seat Covers nenda Sinza wamejazana.

Kama Upholstery nenda Safari au Azam. Over. Kwingine utaibiwa tu.

Izo sehemu ukiwa na 3+ utabadirisha gari sana.
Asante mkuu kwenye gharama nafuu ni kumaanisha ambaye yuko chini zaid ya mwenzake.
 
Back
Top Bottom