Asante mkuu kwenye gharama nafuu ni kumaanisha ambaye yuko chini zaid ya mwenzake.Upholstery na Gharama nafuu havikai sentence moja.
Labda Seat Cover na Gharama Nafuu ndio vinaendana.
Kama Seat Covers nenda Sinza wamejazana.
Kama Upholstery nenda Safari au Azam. Over. Kwingine utaibiwa tu.
Izo sehemu ukiwa na 3+ utabadirisha gari sana.
Azam mkuu.Asante mkuu kwenye gharama nafuu ni kumaanisha ambaye yuko chini zaid ya mwenzake.
Pamoja mzee.Dah nimemchek huyu jamaa kwa kweli yuko vizur naona nitafanya nae kazi. Ubarikiwe