mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Nimejaribu kumsikiliza leo kupitia Amplifaya ya Milard Ayo, sijaona cha maana zaidi ya kujisifu tu kwamba ndani ya miaka miwili atamiliki/atanunua klabu ya ligi kuu Tanzania.
Pia anadai yeye analipwa pesa nyingi na GSM kuliko baadhi ya wachezaji wakubwa hapa nchini.
Nataka kujua huyu mtu ana mchango gani kwenye soka la nchi hii paka awe mjivuni na kiburi kiasi hiki?