C chipalila1 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 259 Reaction score 32 Dec 4, 2012 #1 ndugu wadau, mwenye details nzuri kuhusu mifuko ya jamii hapa nchini, yaan mfuko wenye mafao mazuri kwa mchangiaji akiwa kazini na wakati wa kustaafu , upi mzuri kati ya NSSF,PSPF, LAPF NA MINGINE KAMA HIYO?.. wenye kujua tafadhari tunaomba tujuze
ndugu wadau, mwenye details nzuri kuhusu mifuko ya jamii hapa nchini, yaan mfuko wenye mafao mazuri kwa mchangiaji akiwa kazini na wakati wa kustaafu , upi mzuri kati ya NSSF,PSPF, LAPF NA MINGINE KAMA HIYO?.. wenye kujua tafadhari tunaomba tujuze