Ndiyo maana akugombea uspika ili kujikosha lazima tulia anakwenda kumsaliti samia hakuna jinsi ...niliwaambia watu samia ni zigo la mafii ukilibeba lazima unuke kinyesi watu wakabisha ...Wakuu.
Kama tunavyofahamu, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) anatoka Tanzania, si mwingine bali Tulia Ackson. Sasa, endapo Bunge hilo litaamua kujadili matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea Tanzania, hali itakuwaje? Na msimamo wao utakuwa upi, ikizingatiwa kuwa Rais anatoka hapa kwetu na tukio lenyewe limetokea nchini mwetu? Je, ataiongozaje nafasi yake kwenye mjadala kama huo?.
Baada ya kusikiliza Azimio la Bunge la Ulaya kuhusu mauaji ya raia Tanzania, kisha akajiweka kwenye nafasi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), je tunapaswa kusubiri azimio jingine au bado unalifuatilia suala hili kwa undani kabla ya kuchukua msimamo rasmi?
Kwasababu ya conflict of interest, kimaadili na kikanuni, hawezi kuongoza kikao kinachojadili nchi yake!Wakuu.
Kama tunavyofahamu, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) anatoka Tanzania, si mwingine bali Tulia Ackson. Sasa, endapo Bunge hilo litaamua kujadili matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea Tanzania, hali itakuwaje? Na msimamo wao utakuwa upi, ikizingatiwa kuwa Rais anatoka hapa kwetu na tukio lenyewe limetokea nchini mwetu? Je, ataiongozaje nafasi yake kwenye mjadala kama huo?.
Baada ya kusikiliza Azimio la Bunge la Ulaya kuhusu mauaji ya raia Tanzania, kisha akajiweka kwenye nafasi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), je tunapaswa kusubiri azimio jingine au bado unalifuatilia suala hili kwa undani kabla ya kuchukua msimamo rasmi?
Wakuu.

Huyo Tulia msimamo wake unajulikana. Utekaji na mauaji vilipokithiri wabunge walitaka kujadili bungeni akazuia, maana yake anaunga mkonoJe, ataiongozaje nafasi yake kwenye mjadala kama huo?.