laKwa mimi ni soka360.co.tz jamaa wanajitahidi update kwa website yao mpaka page zao za insta facebook na twitter, jamaa wanatuma reporter kama wakati yanga ipo Rwanda Azam ipo South africa na juzi Taifa stars Chad
Pia jamaa wanagraphics nzuri kiasi kwamba mpaka mitandao ya vilabu kama azam fc huwa wanaiba picha zao