Upi Mtandao Wako Wa Kwanza Wa Kijamii Kujiunga/Kuutumia?

Upi Mtandao Wako Wa Kwanza Wa Kijamii Kujiunga/Kuutumia?

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Tujuzane Leo Mtandao wako wa Kwanza wa Kijamii Kujiunga/Kuutumia

Binafsi The Grid Enzi Hizo ikifuatiwa na Facebook na Mingine ikafuata...

Tujuze Na Wewe.
 
Hi5 na darchat,darchat nilipata mtt mkali sana bahat mbaya mambo yakaenda svyo ....
 
Hi5 japo nshasahau hadi username ikafuatiwa na tagged!
 
The grid,,hii ilipelekea nikapata demu mkali sana wa kimasai wakati nipo adv moshi tech.
 
Back
Top Bottom