Upi mtindo wako wa kunyoa nywele za kichwani?

Upi mtindo wako wa kunyoa nywele za kichwani?

kijazi07

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Posts
1,031
Reaction score
2,186
Mm kiukwel sina style maalum

Yan najikuta nishakaa kwenye kiti kinyoz akiniuliza sina chakumjib

Ebu weken style zenu zakunyoa na majina yake aseeh ili na sisi tupendeze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui ndio kiduku chenye rasta.... sikiachi.
 

Attachments

  • Culture%20Rasta..jpg
    Culture%20Rasta..jpg
    22.2 KB · Views: 32
Nina afro alaf nywele hazisimami coz ni laini(Za kisomali)msaada mwenye kujua mafuta ya kusimamisha nywele anielekeze wajuba.
 
Back
Top Bottom