Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Watanzania wenzangu naomba tufanye tafakuri hii ili kuona na kupima maono ya viongozi wetu ambao tumewapa dhamana ya kutuongoza na kutufikisha katiko mafanikio ya juu kwenye historia ya mwanadamu. Natambua kuwa kila mtu ndani ya nchi hii ana wajibu wa kulilinda, kilijengwa na kilitetea taifa lake ila viongozi wa lika zote kuanzia juu mpaka chini wamepewa dhamana ya kufanya maamuzi ambayo yanagusa maisha yetu kwa matabaka yote.
Naomba nijikite kwenye mada husika juu ya namna viongozi wetu wakubwa wanavyotumia rasilimali zetu kuwekeza kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo. Naomba kuhuji ( curiosity).
Kutumia pesa nyingi kwa wakati mmoja tena kwa cash kununua mandege na kuwekeza katika miradi mikubwa ya maji Safi mijini na vijijini ipi kupunguza kero ya maji ambayo imekuwa kilii kikubwa miaka nenda rudi, wanazuoni tufafanuliani pengine hatuelewi.
Kuanza miradi mikubwa kama SGR kwa pesa za kukopa bila kukaa chini na ku accumulate resources ili tuwe angalau na mtaji wakuanzia kuliko kutegemea loans zenye liba kubwa. Tutaweza kweli kumaliza mradii huu na faida tutapata baada kukamilika Wanazuoni tusaidiene tulijenge taifa letu kwa mawazo mazuri. Je fedha hizi kama tungewekeza kwenye barabara za vijijini, kuunganisha wiliya na mikoa kwa barabara za rami si ingekuwa bora zaidi? Nauliza mtoto wa mkulima.
Kujenga ukuta wa merelani bira kuimarisha taasisi na mamlaka kuwa na weledi, uzalendo, mbinu za kisasa, vifaa na ujuzi wakulinda madini yetu adhimu, itazuia kweli. Letana hoja wanazuoni tujadili kwa faida ya nchi yetu.