Upi ni Msemo Sahihi na Wenye Mantiki Kwa Ulimwengu Wa Sasa?

Upi ni Msemo Sahihi na Wenye Mantiki Kwa Ulimwengu Wa Sasa?

AVO28

Senior Member
Joined
Jan 4, 2018
Posts
140
Reaction score
240
"INFORMATION IS POWER"
"KNOWLEDGE IS POWER"
"POWER IS POWER"

Kwa nyakati tofauti nimeskia watu tofauti wakitafsiri maana ya "POWER" na nimebaki nikiwaza Yupi yuko sahihi zaidi ukizangatia mazingira ya dunia hii tunayoishi sasa?


Karibuni wadau tujadili.
 
I think information is powerful all because when you get info you run into that Info and within it laying opportunity that lead you to either invest and get into business.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Data + Data......+ Data = information

Information +......information = knowledge,

Hivyo basi Information ipo ndani ya knowledge.

Information huzalisha belief, ambayo inaweza kuwa true belief au false belief hapa itategemea usahihi wa hiyo information,

Knowledge hucorrect beliefs, yaani huichambua kama ni true belief au false belief kwa kuangalia msingi wa hiyo information kwa kina na kiundani zaidi mfano falsafa.

Unaonaje ukisoma vitabu (knowledge) ili uelewe kwa kina mambo mbali mbali na asili ya hivyo vi video na viterminology ambavyo mwandishi au mtunzi kaviweka baada ya kuchimbua kiundani mahali flani,

Chimbua deep achana na hivyo viji video mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom