Data + Data......+ Data = information
Information +......information = knowledge,
Hivyo basi Information ipo ndani ya knowledge.
Information huzalisha belief, ambayo inaweza kuwa true belief au false belief hapa itategemea usahihi wa hiyo information,
Knowledge hucorrect beliefs, yaani huichambua kama ni true belief au false belief kwa kuangalia msingi wa hiyo information kwa kina na kiundani zaidi mfano falsafa.
Unaonaje ukisoma vitabu (knowledge) ili uelewe kwa kina mambo mbali mbali na asili ya hivyo vi video na viterminology ambavyo mwandishi au mtunzi kaviweka baada ya kuchimbua kiundani mahali flani,
Chimbua deep achana na hivyo viji video mkuu
Sent using
Jamii Forums mobile app