Upi ni ukaaji vizuri kwa mwanamke?

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
2,696
Reaction score
740
Wanaume mbona tunawayumbisha sana wake zetu?

Wakikaa sebuleni kwa kulegea, tunawasihi wakae vizuri. Utasikia dume liking'aka "kaa vizuri wewe", tukiwa na maana wajibane.

Wakikaa kwa kujibana tukiwa nao chumbani, napo tunawasihi "wakae vizuri", yaani wajilegeze.

Kukaa vizuri kwa mwanamke ni kupi?
 
mmh sasa wewe tena hii mpya kumbe kuna namna ya ukaaji lol
 
It is just adoptation of the environment and always it depends in which situation. Yaani kila mkao kwao unaheshima yake lkn inategemea na mazingira.
Mfn awapo kwenye majamboooooz yampasa akae aweke dishi vizuuuuri ili channel isomeke!!
 
hii sredi imekosa thamani kama dola za mugabe, kijana una umri gani?
 

Ni wa kwako siyo wotee
 
Kukaa vizuri ninavyo fahamu ni kufunika/kuficha maeneo yake nyeti, hasa ya chini!
 

sasa jombaa mbona jibu ni obvious!!mkao lazima uendane na tukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…