Upi ni utamshi sahihi wa neno 'Ultra Sound'

silent lion

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,278
Reaction score
1,794
Kutokana na sakata la kuibiwa machine ya Ultrasoud, vyombo vingi vya habari vimekua vikielezea kuhusu tukio hili.

Wengi wamekua na matamshi tofauti, sasa je tunatamka Yutrasaund au Altrasound?

Kwa mujibu wa Google ni Altrasound lakini vyombo vingi vya habari vya hapa nchini wanatamka Yultrasaund sasa ipi sahihi Wakuu
 
Njoo huku uswahilini kwetu usikie matamshi ndio utajua kama kizungu ni kidhungu. Mtu anakwambia nyutrosaundi [emoji23][emoji23]
Duuh!

Itakuwa Mbagala huko.
 
Ni altra, kunamtangazaji azam nae ameniboa, anaita yultasaund
 
Halafu mkuu hakuna neno linalojulikana kama "pronounciation"
 
Pronounciation yake: autraseind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…