Upi ukomo wa ubunge wa kuteuliwa na raisi?

Upi ukomo wa ubunge wa kuteuliwa na raisi?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Mbunge wa kuchaguliwa ama yule wa viti maalum hukoma kuwa mbunge pale tu akikosa kuwa mwanachama wa chama Cha siasa ama muda wake kuisha au sababu zingine za kisheria zilizo ainishwa katika katiba.

Je inakuwaje kwa akina Bashiru na Polepole?
Nani Mwenye mamlaka ya kuwafuta ubunge kabla bunge halijavunjwa?
 
Back
Top Bottom