Upi umri sahihi wa kustafu katika swala zima la mapenzi

Hakuna anastaafu kupanda haki ya kimsingi ya mwili ila mtu hushindwa mwenyewe kutokana na uchakavu wa mwili au akili
 
hamna kustaafu mpaka ushindwe kupafomu,kuna mzee wa miaka 94 Pakistan kaoa mwaka jana na kupata mtoto juzikati hapa.
 
mmmhhh mie nikisha dondoka meno..
na minyama yangu kuninginia...
mgongo ukisha pinda.....

mmmhhh na kuna watu wananiita bibi ..
hapo nimesha jitoa....

hiyo ni kama niki fika huko..
 
mmmhhh mie nikisha dondoka meno..
na minyama yangu kuninginia...
mgongo ukisha pinda.....

mmmhhh na kuna watu wananiita bibi ..
hapo nimesha jitoa....

hiyo ni kama niki fika huko..



Sasa kama mwenzio huku bado nahitaji huduma katika umri huo ina maana utakuwa unaninyima?
 
yale mambo hayana umri ....mi nina babu yangu ht kutembea hawez lkn bado anakandamija akitaka kupanda kibaiskel ana2ita 2je 2mpandishe.... unafanya mchezo nn!
 
ukifa au jibu zuri bi Kidude atakupa, bado anasasambua.
 
kwani na hili linasubiri mafao ya uzeeni mpaka watu wastaafu au ulukuwa unajaribu kuelezea nini
 
Sasa kama mwenzio huku bado nahitaji huduma katika umri huo ina maana utakuwa unaninyima?

mmmhh jamani miaka hiyo
mie nataka oxygen tu...
miaka 90 mie hata yangu siitaki kipindi hicho..mmhh
 
mkuu ni wewe tu na uimara wa homoni zako pale zitakapochakaa ndio mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…