Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
siku zote nimekua sijatafakari vizuri hadi leo niliposikia watu wa salon moja wakibishana kwamba ule msemo ambao mm nimeuzoe kama Akili ni Nywele kila mtu ana zake usahihi wake ni kwamba akili si nywele kila mtu ana zake, na nadhani walikua na hoja moja kwamba ingawa kila mtu ana nywele lakn akili zetu ni tofauti ndio vile wakasema akili si nywele
Upi ni sahihi, wewe umezoa upi?
Upi ni sahihi, wewe umezoa upi?