usahihi upo kwenye hiyo akili ni nywele, kila mtu ana zake...
Ufafanuzi
kila mtu ana nywele zake mwenyewe zilizo katika sura tofauti na uzuri au ubaya wa nywele ambazo kila mtu anazaliwa nazo ni matunzo ya nywele hizo...hivyo kuwa na akili ama kutokua nazo ni juhudi binafsi za muhusiki
Usahihi upo kwenye hiyo Akili ni nywele, kila mtu ana zake...
ufafanuzi