I LOVE GIRLS
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 857
- 1,323
Bila shaka hamjambo wana JF,
Hivi jamani, upi utajiri wa vitenzi kisemantiki na kisarufi?
Karibuni sana wana JF, mtoe mchango wenu.